Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
We Mahondaw weweeee...
Motivational speakers hao...Wanakufundisha how to be a billionaire in 3 months wakati yeye mwenyewe yuko hoi [emoji23][emoji23]
Wako wengi sana hapa siku hizi. Uniq kapata wenzake kibao....Poleni Wakusoma..
😂 😂 😂Wako wengi sana hapa siku hizi. Uniq kapata wenzake kibao....
Amun RaSalama bro,
Uwe na siku njema pia.
We Mahondaw weweeee...
Ndiyo warembo wanaoendesha dunia hao. Na dunia nzima inalazimishwa kuamini kwamba eti mwanamke mrembo inabidi awe hivyo...Hovyo kabisa...
Bogasi kabisa huyo