Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20190819-WA0003.jpeg
 
Dili hilo la udhamini waliloingia Man United na kampuni hiyo ya watengeneza magari mwaka 2012, linatajwa kuwa na thamani ya Pauni 64 milioni kwa mwaka. Hiyo ina maana kwamba Man United inavuna Pauni 64 milioni kila mwaka kutokana na jina la Chevrolet kutokea kwenye jezi zao.
 
Back
Top Bottom