Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yaani The don hakati tamaa kabisa juu ya kunipeleka aseno[emoji28][emoji125][emoji125]
Nakuhakikishia utarudi...Aseno was my fav team enzi hizo, kidogo nipate kifaduro nikatimuka aisee! [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] tuiombee aseno, mi sipendi steres kabisaAfadhali...
Naombea tu Aseno tusije tukachemsha ukaamua kubakia huko kwa majamaa makatalunya jumla.
Majamaa yapo tu yataibuka muda si mrefu...
Nakuhakikishia utarudi...
[emoji1][emoji1][emoji1]Aseno was my fav team enzi hizo, kidogo nipate kifaduro nikatimuka aisee! [emoji16][emoji16][emoji16]
Ujage tufanye maombi ya pamoja kuiombea timu yetu. Maombi ya pamoja yana nguvu; na yanasaidia kuondoa steresi. Aseno hoyeee !!![emoji16][emoji16][emoji16] tuiombee aseno, mi sipendi steles kabisa
Hahahaha kama Mhindi
Poti hufai [emoji16][emoji16][emoji16]