Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Na sasa imefika zamu ya wajukuu, watoto wa Michael, Mads na Andreas ambao wote ni wanasoka japo si kwa kiwango cha juu, huku Brian naye mtoto wake Nicolai ni mwanasoka wakicheza timu moja na Mads ya mchangani Græsrødderne.