Myoyambendi. Njoo huku mkuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Love me now
[emoji23] [emoji23] [emoji23] typing error shemejiAti nini?
Alisema hatarudi kwenye huu uzi tena. Unafikiri ameji-off kweli?Heshima yako mkuu.Nimejaribu kupitia jina la gbefa silioni humu kwa leo. Jana alikuwa na lugha ya kukata tamaa Mungu aepushie mbali
Neisha anatoa likes.Niwe kee likes
Sipendi kukwaza watu,watu wasije wakasusa uzi bureOngea tu..
Leo picha zimeanza mapema??
Watu watahama uzi bure acha nishushie na glass ya maji baridiFunguka tu. Unamwogopa nani? Kichwa?
Numbisa hawa jamaa wamerudia tena isidingo