ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
HahahahaNiko page ya 10099 huku nalike post zenu i hope mnalike zangu pia
HahahahaNiko page ya 10099 huku nalike post zenu i hope mnalike zangu pia
AMUN RA
Nafurahi kukuona umerudi...naomba nikwambie kitu...humu ndani tupo wengi tuna tabia tofauti,makwazo yapo yanatokea lakini kabla hujaamua kitu jaribu kufikiria vizur,inawezekana huu uzi haukupi faida lakin uwepo wako humu unatupa faraja..Kinacho nirudisha humu ndani ni urafiki na undugu ambao nimeupata humu.
Nawapenda wote mmefanya maisha yangu yakawa rahisi sana.
Naumia pale mtu anapoongea kitu huku hana uhakika na anacho sema.
Karibu tena kamanda!Kama uko online kula like
Thank you for this family holy father, for the love that we share, for our time together and for this peace that you give us. We pray father that you will protect us and guide us and that you keep this family forever and always
CoLe Williams..
gbefa aliaga jana naona stress zimemzidiHeshima yako mkuu.Nimejaribu kupitia jina la gbefa silioni humu kwa leo. Jana alikuwa na lugha ya kukata tamaa Mungu aepushie mbali
Dah! Nagonga likes huku napasha simu. Ntakuja baadae. Niko nyuma nagonga likes taratibuMyoyambendi. Njoo huku mkuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kula like kwanzaJamani mtoe likes sio mnapost tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ukichelewa sana utakuta wajanja wameshakuwahi!Dah! Nagonga likes huku napasha simu. Ntakuja baadae. Niko nyuma nagonga likes taratibu
Teh![emoji1]Jamani mtoe likes sio mnapost tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]