Moyo wangu unaumia sana una kidonda nimempenda mtu ambaye hana mda na mimi. Iko hivi, tumejuana miaka 9 kama marafiki kipindi chote alikuwa ananitaka ila si kuona muda muafaka, na si kutaka kupoteza pia nami nilikuwa nataka nijipange kwanza ndo niwe naye. Well akapata wadada wawili na wamezaa...