Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MANGO ICE CREAM / LAMBA LAMBA ZA EMBE : Maembe 3 makubwa Mtindi wa vanilla au wa kawaida vikombe 5 Sukari kiasi chako Menya embe katakata vipande vidogo vidogo na mimina katika blender. Weka na Mtindi na Sukari. Saga mpaka iwe laini kabisa. Mimina mchanganyiko katika vikopo vya ice cream. Gandisha katika freezer muda wa masaa 6 au 8. Baada ya hapo lamba lamba za embe tayari kuliwa. Enjoy [emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 1186452
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
20190821_081731.jpeg
 
Back
Top Bottom