myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]MANGO ICE CREAM / LAMBA LAMBA ZA EMBE : Maembe 3 makubwa Mtindi wa vanilla au wa kawaida vikombe 5 Sukari kiasi chako Menya embe katakata vipande vidogo vidogo na mimina katika blender. Weka na Mtindi na Sukari. Saga mpaka iwe laini kabisa. Mimina mchanganyiko katika vikopo vya ice cream. Gandisha katika freezer muda wa masaa 6 au 8. Baada ya hapo lamba lamba za embe tayari kuliwa. Enjoy [emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 1186452
Good morning to you sis.Good morning
Salama.. hellow bradha
Tupo
Salam Myoya.Salam kwenu wote..
Niko poa habari ya weweGood morning to you sis.
Umeamkaje?
Salama salimini.Niko poa habari ya wewe
Safi mkuu..za kwakoSalam Myoya.
Kwema mkuu.Safi mkuu..za kwako
Nawe pia mkuu....shukranKwema mkuu.
Siku njema huko mkuu.