Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kinacho nirudisha humu ndani ni urafiki na undugu ambao nimeupata humu.
Nawapenda wote mmefanya maisha yangu yakawa rahisi sana.
Naumia pale mtu anapoongea kitu huku hana uhakika na anacho sema.
Nafurahi kukuona umerudi...naomba nikwambie kitu...humu ndani tupo wengi tuna tabia tofauti,makwazo yapo yanatokea lakini kabla hujaamua kitu jaribu kufikiria vizur,inawezekana huu uzi haukupi faida lakin uwepo wako humu unatupa faraja..
Hasira zisitawale maamuzi yako...mtu akikukwaza msamehe na move on,and pulizii dont take anything humu so seroiusly...
Hahaa ila ungeondoka babe S wangemgombania ka mpira wa kona[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cheers dude[emoji482] [emoji482] [emoji482]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…