mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Salama salamaSalam kwenu wote..
Amun RaMingu atupe siku njema
Amun RaJua linachomoza na matumaini mapya
Amun RaIT'S WISDOM WEDNESDAY....
TUAMKE TUKAFANYE KAZI.MUNGU ATUBARIKI SOTE
Morning BroGood morning brothers and sisters.
Aisee jamaa alikuwa jembe sanaHuyu Polisi wa zamani Marehemu Mkama Sharp alikuwa na Kipaji gani ambacho Polisi wengi wa sasa hawana?
Alikuwa na mambo mengi na Vituko vingi tu ila binafsi nakumbuka kila alipokuwa akienda katika Vijiwe vya Masela wa enzi hizo wenyewe Masela walikuwa wanapiga Magoti na wanajisalimisha Kwake na ama Bangi walizokuwa nazo na Vitu vya Uwizi walivyoiba na walikuwa wakiongoza wenyewe Kituoni Polisi...www.jamiiforums.com
Nzuri mkuuHabari zenu
Siku njema pia bradhaSalama.
#JanaNilifanyaKamaWeweIbadaYaMchana
#SikuNjema
Salama bro, natumai kumekucha salama pande hizo.
Mamboz
[emoji120][emoji120]Tumshukuru Mwenye enzi mkuu Mungu kwa uzima na afya anazotujalia kila siku
09:52
Aisee jamaa alikuwa jembe sana