Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hebu funguka bana. Anayekwazika kwenye uzi kama huu ana issues zake. Mwaga ubuyu!
Kuna watu wanachukulia vitu vya humu so serious,imagine kitu kilichotokea leo...Jamani eeh sio kila kitu cha kuchukulia serious humu umekwazika na mtu mchane tu kama ninavyokaribia kumchana mtu humu ndani.....nakuja na part 2 sooon....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hahahhah. Thanks nilisoma kila mlicho andika nikaona kuna mengi zaidi ya like.
Asanteni na mnisamehe nilio wakwaza.......
Pia nashukuru kwa upendo wenu.
 
Unanifedhehesha sana carba,
Babe s agombaniwe na nani zaidi yangu?
Siku nyingine usirudie kujisahau na kuzungumza hivyo.
Wewe kula like,
Kijana wangu nampa like pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…