myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asubuhi njema
🙏 🙏 🙏Tunamshukuru mwenye enzi mkuu Mungu kwa kuiona siku hii ya leo
Salama kabisa. za kwakoHabari za asbh Watanzania
👍 👍Limao mwilini hufanya kazi ya kuchuja sumu katika ini na figo kutokana na kazi yake ya kusafisha vijidudu vyote vinavyosababisha bacteria wabaya mwilini.
Mimi pia, uko poa?Nimekumis pia,
[emoji3][emoji3][emoji3] umeridhika kuwa wa mwishoHahahahaha mbona mm wa mwisho sijalalamika
Shemeji yangu msuku yupo Kiafrika zaidi.Mlozi akiwa na vitendea kazi vyakeView attachment 1186817