mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Na kwako pia mkuuAsubuhi njema
Amun RaMungu atupe siku njema
Safi kabisa mkuu tunamshukuru mwenye enzi mkuu kwa kuona jua la LeoSalama kabisa. za kwako
YapSiku ingine ya kupambana na maisha...
Amun RaJua linachomoza na matumaini mapya..
Labda nimetafasiri vingine Liverpool ndiyo mabingwa na ndio wa kwanza nafikiri amefanya vice versa[emoji3][emoji3][emoji3] umeridhika kuwa wa mwisho
TeteteteteTumeamua tunawezaView attachment 1187202
Heshima kwako mkuuShemeji yangu msuku yupo Kiafrika zaidi.
Niko sawa! Umeamkaje Khantwe?Mimi pia, uko poa?
Niko poa sanaNiko sawa! Umeamkaje Khantwe?
🙏 🙏Safi kabisa mkuu tunamshukuru mwenye enzi mkuu kwa kuona jua la Leo
Okay,.. kariba chai.Niko poa sana
Thanks, iko wapi sasaOkay,.. kariba chai.
Iko hapa nilipo,Thanks, iko wapi sasa