Mhhh!!!!Nafurahi kukuona umerudi...naomba nikwambie kitu...humu ndani tupo wengi tuna tabia tofauti,makwazo yapo yanatokea lakini kabla hujaamua kitu jaribu kufikiria vizur,inawezekana huu uzi haukupi faida lakin uwepo wako humu unatupa faraja..
Hasira zisitawale maamuzi yako...mtu akikukwaza msamehe na move on,and pulizii dont take anything humu so seroiusly...
Hahaa ila ungeondoka babe S wangemgombania ka mpira wa kona[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cheers dude[emoji482] [emoji482] [emoji482]
AmenThank you for this family holy father, for the love that we share, for our time together and for this peace that you give us. We pray father that you will protect us and guide us and that you keep this family forever and always
CoLe Williams..
Mbona ka unanisema mimi jaman
Jomo kenyatta
HahahahaLeo likes zangu hazina mpangilio
Huo ndo uanaume sasa. Safi sana mkuu!Hahahhah. Thanks nilisoma kila mlicho andika nikaona kuna mengi zaidi ya like.
Asanteni na mnisamehe nilio wakwaza.......
Pia nashukuru kwa upendo wenu.
Shemeji utampata shemUkarimu kama wako...
I have his number. You wanna ask him?What Its like to be lebron