Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Siyo wewe peke yako. Ni wanawake wote!Haka ka tabia sijui ninako dooh!naombaga msamaha alafu nakugeuzia kesi [emoji23] [emoji23]
Gejo hujambo mama?Leo likes zangu hazina mpangilio
Alafu mzee wa ikwiriri hunipi likes wewe...kama umekasirika nipe like tenaaaKula like kwanza
Like haki yako carba!Alafu mzee wa ikwiriri hunipi likes wewe...kama umekasirika nipe like tenaaa
Humu ndani bhana hadi raha kuna mijibaba nyaku nyaku na mijidada inayomendea waume za watu...ooopsss[emoji125] [emoji125] [emoji125]Ukichelewa sana utakuta wajanja wameshakuwahi!
Sasa kama hujaelewa kilichosemwa utafanyeje? Wakati mwingine mtu inabidi ucheke tu huku ukisubiria ku-catch up!Mbona ka unanisema mimi jaman
Hata huku upooGejo hujambo mama?
Jibu utoe ww kama ungekuwa lebron...I have his number. You wanna ask him?