Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Life can be a journey of endless beauty
VE habari ya weekend?
Nzuri VEPoa namshukuru Mwenyezi Mungu [emoji1431] Za siku mbili tatu VE?
Simba Nguvu moja [emoji123][emoji123]Simba sport 1985.
Mwanza View attachment 1189127
Safi kaka nimefurahi kukuona jamaniNipo dada, habari za siku nyingi.
Nzuri VE
Simba Nguvu moja [emoji123][emoji123]
Mimi humu ndio nyumbani sasa.Safi kaka nimefurahi kukuona jamani
Weye unashabikia timu gani kati ya hizo?Nafurahi kusikia hivyo VE, Mwenyezi Mungu ashukuriwe [emoji1431][emoji1431][emoji1431]Niko hapa home nasubiri mchapo wa Liverpool na Arsenal in 15 minutes. Tukishinda leo itakuwa bomba sana ila Liverpool ni wazuri na ndiyo Mabingwa wa Ulaya.
Haha hatari sanaAcha tu [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1189115
Salama kabisa.Mzima Bradha
Vipi habari yako?
Ulikisia nini?
Salama kabisa.Mzima Bradha
Vipi habari yako?
Ulikisia nini?
Sawa VEMie ni Arsenal VE
Amen [emoji41][emoji41]Kuna dalili ya ushindi kwa chama yangu leo 3-2 mbona itakuwa raha sana [emoji12][emoji12][emoji12]
Salama fraggy?[emoji3]
Huku tunakunyima njaa tuMimi humu ndio nyumbani sasa.
Unaninyima nn huko?
[emoji3][emoji3] Bradha bana hadi leo unakumbuka....leo unashabikia timu gani?Salama kabisa.
Lile daladala.