Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni mbaya sana aisee...Jamani msione tunajiropokea hapa,laiti tungejuana hata comment yangu msingekuwa mna like kwa kunikimbia nisiwaambukize matatizo yangu.Tuvumiliane kama tuna kwazana,hatuna kwa kushinda baada ya kutoka kwenye mihangaiko
Una busara sana sema tu ukiona totoz basi nati zote zinafunguka mapambio si mapambio ali mradi vurugu tupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…