andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwambie mzee wa Ikwiriri kaagiza chai kwa babe SAndjul
![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwambie mzee wa Ikwiriri kaagiza chai kwa babe SAndjul
![]()
HahahahaNipige zangu story mwenyewe
Karibu tena!Nimerudi tena rasmi
Huu uzi ni faraja kibwa sana kukaa humu na kutaniana kunatufanya tusahau matatizo yetu...ila best way na ku deal na shida zetu ni kuongea na kuwa na open heart kukubali na ushauri wa watu...huwezi jua unayopitia wewe na mimi ni hayo hayo,tunapo ongea tunapata ways to deal with our problems...Ni mbaya sana aisee...Jamani msione tunajiropokea hapa,laiti tungejuana hata comment yangu msingekuwa mna like kwa kunikimbia nisiwaambukize matatizo yangu.Tuvumiliane kama tuna kwazana,hatuna kwa kushinda baada ya kutoka kwenye mihangaiko
Asante sana kakaKaribu tena!
Ametenda maajabu nami siwezi kuelezaa...siwezi kuelezaa.....Humu ndani bhana hadi raha kuna mijibaba nyaku nyaku na mijidada inayomendea waume za watu...ooopsss[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Karibu tena,mwamshe na Kichwa mwambie nataka nitoe episode leo si ya kukosa hiiMi pia kuna aliyenifata akaniuliza swali kama lako nikamwambia mi ni fa fa fa fa
My heart was blinded by you, I have kissed imaginary million times, and held your hands, shared your dreams, and shared your bed. I know u well I know your smell.
I have been addicted to u
Au unasemaje ISISHahahaha
Toa likes pata likesjamani hivi likes bado zinatolewa?
hebu nipeni na mimi, naanza kwa kujipa mwenyewe haya twende
Kwako sis sina wasiwasi kabisa...Maana imebidi kubadili biashara., maombi yenu yata nisaidia sana! Walahi it's not a joke