BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Niko poa,picha ya mrembo nimeikubali.Good Taste! Mzima mrembo Hawachi?
Niko poa,picha ya mrembo nimeikubali.
Wanawake tunazidiana Ukute huyu mrembo mpenzi wake anachepuka aisee.Miondoko ya Twiga
![]()
Anatumia jina gani instagram?Mzuri sana huyu binti aisee halafu ni mtu poa sana.
Wanawake tunazidiana Ukute huyu mrembo mpenzi wake anachepuka aisee.
Kwa sisi wenye sura ngumu hapo ndipo tunajipa moyo sasa 😃😃hahahahahaha halafu mchepuko unaweza kuwa wa kawaida sana. Ila utamu wake sasa....
Thanks nitamchekiKatepyt mrembo wa Kinyarwanda
Kwa sisi wenye sura ngumu hapo ndipo tunajipa moyo sasa 😃😃
Mzuri mno kwa nje hana kasoro.Katepyt mrembo wa Kinyarwanda
Mzuri mno kwa nje ana kasoro.
Fanya mpango utuletea mbegu za Kinyarwanda.Karibu sana
Wanyarwanda wana roho ngumu ni wazuri ila 😜Anawaza akawa hana kasoro yoyote ile pia kimaumbile wala tabia. Mwenyezi Mungu akiamua kuumba anaumba kweli.