mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Amun RaGood morning fam[emoji477]
Tunaoenda church misa ya pili tuamke kujiandaa[emoji547]
Muwe na jumapili njema[emoji8]
Mungu atubariki sote
Amun RaGood morning fam[emoji477]
Tunaoenda church misa ya pili tuamke kujiandaa[emoji547]
Muwe na jumapili njema[emoji8]
Mungu atubariki sote
Safi moud, za Jumapili?Happy mambo
Nami nitakuwepo leo hii kuwapa sapoti wekundu wa msimbaziTukutane taifaView attachment 1188996
Mbona umecheka mkuu anatangaza biashara take[emoji23][emoji23]
![]()
Nauza bajaji - JamiiForums
Bajaji mbili zinauzwa TVs na Re zote mbili shilingi million tano yani Kila moja ni million mbili na nusu zipo moshi mawasiliano 0625937928www.jamiiforums.com
Shukrani sana Ninge, uwe na Jumapili tulivu
Lakini hatupo nao
Hatuna cha kumlipa Mwenye Enzi zaidi ya kumwabu yeye
Wengi walitamani sana kuiona siku ya leo
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Tunamshukuru Mwenye Enzi Mkuu kwa kuiona jumapili hii ya leo
Aisee kweli unaweza usirudi kabisa[emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1189124
Amun Ra[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Umeshaenda churchHhahaha
AminaMungu atupe afya na uzima