mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Pole sana mkuu CP anakupiga OT kweli mmekuwa tia majiAsante sana...ndio United yetu hii ilipofikia,tia maji tia maji
Jumapili iko poa kabisa ukichanganya na ushindi dhini ya gunners hapa roho kwatu kabisa naombea adui yangu MC apigwe naye leoComment za humo zinachekesha,watu hawapo siriazi...muuzaji mwenyew naye hayupo siriaz pia
Jumapili ipo poa mkuu,vipi kwako?
Nimepitia huo Uzi nimecheka sanaWewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka
Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia...www.jamiiforums.com
12:11Siku imeshika kasi