mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Asante kwa taarifaWewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka
Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia...www.jamiiforums.com
Tupo Mkuu Tunashukuru Kwa Kutukumbuka BossTena ile ajali ya mafuta Moro Numbisa alikuwa na wasiwasi nawe sana. Kilicho saidia nilikuchungulia kwa kutumia darubini yangu, nikaona umekumbatia mi kvant werevaaa kibaoo, nikajisemea tu "huyu shwaini watu tuna kosa hadi likes kumbe yupo hapa na mibotolo yote hii..."
Mungu ni mwema, nikifa mimi kwa ukaribu huu wiki halitapita itakuwa imesha julikana... Usiulize kwanini hatuwatafuti ho chi minh na Kichwa Kichafu au ISIS (huyu ni kama nimemuona kwake juzi kama sio mdogo wake) hao achana nao, uniq hajadedi bado, taarifa ingefika maana shemeji babe S muda mwingi namuona sehemu.Ila Nsamaka namuwakilisha mimi... Kwa suala la mzaramo huwa Majamaa wana taarifa naye...
Kwa hisani ya ustadhi Mo Salah nawatakia jumapili njema wote
Hope wote mko poa
[emoji120][emoji120]shwariHabari za asbh wanalikes
Hope wote mko poa
Tunamshukuru Mwenye Enzi Mkuu kwa kuiona jumapili hii ya leo
Safi moud, za Jumapili?
Nami nitakuwepo leo hii kuwapa sapoti wekundu wa msimbazi
kwa huu utafiti wacha na mimi nimwite babu SHIMBA YA BUYENZECc SHIMBA YA BUYENZEView attachment 1189574
Aisee kweli unaweza usirudi kabisa
Hahahaha
Kk niaje mkuu long time sanaTupo Mkuu Tunashukuru Kwa Kutukumbuka Boss
Salama mkuu jumapili imekaaje[emoji120][emoji120][emoji120]salaam mwana liver