Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni mbaya sana aisee...Jamani msione tunajiropokea hapa,laiti tungejuana hata comment yangu msingekuwa mna like kwa kunikimbia nisiwaambukize matatizo yangu.Tuvumiliane kama tuna kwazana,hatuna kwa kushinda baada ya kutoka kwenye mihangaiko
Huu uzi ni faraja kibwa sana kukaa humu na kutaniana kunatufanya tusahau matatizo yetu...ila best way na ku deal na shida zetu ni kuongea na kuwa na open heart kukubali na ushauri wa watu...huwezi jua unayopitia wewe na mimi ni hayo hayo,tunapo ongea tunapata ways to deal with our problems...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…