andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mzee wa mchiriku [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Oyaaa, poa! Huyo pamoja na u sharp wake lakini watu bado walikuwa wanapigwa kanyaboya vilevile mitaa ileile aliyokuwa anavinjari. Chezea vijana wa Daresalama wewe! [emoji16][emoji16]
Yaani wabaya wake wa vijiweni ndo walikuwa washikaji zake muda wa kuvuta bhangi