Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jana nilikuwa namsisitiza sana kuwa abakie huko huko kwenu majamaa makatalunya....Vipi The Happiness wangu hawajamuiba?
King...Jamaa wa kupiga ndondo za Kibrazil SHIMBA YA BUYENZE
.... Poleni na janga la moto huko ukweni kwenu
Fo ze festi taimu kuna njemba naona imefanikiwa kumnyang'anya nywila...Huyu binti mpole mbona namtag lakini hatagiki?
Hata sisi ambao sio crush tunaruhusiwa kulike?Dear Crush, I did not sleep last night, Because I was thinking about you, You don't even have a clue, That how much I love you I really and truly do,I love you....
Wish you a lovely morning....Keep smiling!
Jifiche tu unavyoweza ila usisahau mazawadi ya maua na wine kama "Poti"[emoji28][emoji28][emoji28],Hahah! ndio hapo sasa....
Za Mafichoni nzuri adi zinapitiliza ...
Napenda kweli kutokupotea ila dah! Swala la muda tu, tutarudi kukesha humu kama kawaida
Hakuna hata ilipotumika[emoji1]Popote tu me nauliza tu [emoji3]
Nimeona ukimsisitiza kuwa huko sehemu nyingine tayari usalama ni mdogo bado mapema.....Jana nilikuwa namsisitiza sana kuwa abakie huko huko kwenu majamaa makatalunya....
Kwema lakini?
Hahah! Thank broKing...
Welcome back....
Moto tunapambana nao [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee basi kumbe ni kweli hakuna mkate mgumu kwenye chaiFo ze festi taimu kuna njemba naona imefanikiwa kumnyang'anya nywila...
Kwisha habari yake !!!
Hahah! Usijali juu ya hilo tena ubunifu utahusika nitaongezea na vingine kuwa tofauti na Poti 😁Jifiche tu unavyoweza ila usisahau mazawadi ya maua na wine kama "Poti"[emoji28][emoji28][emoji28],
Si unajua yanachochea tabasamu[emoji2088]
Aaah! Hapo sawaHakuna hata ilipotumika[emoji1]
#KwaninaweweunaoWivu[emoji41]
[emoji4][emoji4][emoji4]Hahah! Usijali juu ya hilo tena ubunifu utahusika nitaongezea na vingine kuwa tofauti na Poti [emoji16]
HehehAaah! Hapo sawa
#WivuninaomwingiTu[emoji57]
Shukrani sana TH[emoji4][emoji4][emoji4]
Now you are talking[emoji484][emoji484][emoji484]
Wacha nikutakie J3 njema enh,
Jizaz! ...Heheh
#kizurikulanawenzioatii[emoji38]
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Ni Jizazi siyo Jizaz....Jizaz! ...
#Jizaz [emoji52]
Kwenye kada ya kubeba maua hakuna wa kumfikia Poti. Acheni kudanganyana. Hicho ni kipaji cha wagumu (uchwara) pekee [emoji16][emoji16]Jifiche tu unavyoweza ila usisahau mazawadi ya maua na wine kama "Poti"[emoji28][emoji28][emoji28],
Si unajua yanachochea tabasamu[emoji2088]