capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nipo salama kabisa mkuu usiwe na shakaNaipokea kwa heshima kuu [emoji120][emoji120][emoji120]
Namshukuru Mungu umerudi, japo sijui kama(muda unaongea) upo salama..
Pamoja sana mzee wa kaziPole sana na karibu tena Bro.
Niko sawa sana Mswatti.
Kwi kwi kwi kwi 😂😂😂😂😂😂😂😂 MOD yuko busy kufuatilia mabandiko ya BAK ili kumpeleka lupango bila hata kupewa nafasi ya kujitetea.
Ila BAK kagoma kupoteza uhuru wa kuchangia humu vile atakavyo yeye eti kwa kuhofia BAN.
😀😀 CCtv Cam zote zipo kwako