moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ameen
Muwe na wakati mzuri mzuri popote mlipo ndugu zangu[emoji120][emoji120]
wakati watu wakilalamikia uhaba wa fedha kuna watu wanazo hadi za kununulia kenge.....
View attachment 1190688
Halafu wewe! [emoji57]... Kuna wakati una sound exactly the same like kale Kazaramo, sijui umeji camouflage! Usinifanye nianze kukumwaga mi banana boat hapa aisee! [emoji16][emoji16]
Siku moja tupige mafisadi mpaka yafanane hivi. Itakuwa poa sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Dogo huyu kwa nyodo alikuwa hajambo. Nini kilimshinda mpaka akaamua kugeuza?Michael Jackson akiwa na rais wa Tanzania wakati huo,
Ali Hassan Mwinyi, ikulu ya MagogoniView attachment 1190703
Na hapo ndipo penye ujumbe hasa niliotaka kuuwasilisha. Kwema?
Esta yuko huko kwako? Achilia nywila pulizi....
Poti wewe usijali. Beba maua poti watajijua wenyewe huko [emoji16][emoji16][emoji16]Halafu wewe! [emoji57]... Kuna wakati una sound exactly the same like kale Kazaramo, sijui umeji camouflage! Usinifanye nianze kukumwaga mi banana boat hapa aisee! [emoji16][emoji16]