Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yange yange
FB_IMG_1566841115014.jpeg
 
Hapo Kamanda lazima utafute nguvu za ziada ili ulinde heshima ya ukoo.
Hapo lazima uhusishe Pweza, karanga mbichi, mihogo mibichi, matango, parachichi, tikiti.
Ukitaka shotikati unamtafuta mwenyewe mzee mzima toka Lubumbashi[emoji23][emoji23]
Utaishia kuvimbiwa tu. Hii kula pole pole at least kwa siku tatu kabla hujaenda kutetea heshima ya ukoo....[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1190753
 
Hapo Kamanda lazima utafute nguvu za ziada ili ulinde heshima ya ukoo.
Hapo lazima uhusishe Pweza, karanga mbichi, mihogo mibichi, matango, parachichi, tikiti.
Ukitaka shotikati unamtafuta mwenyewe mzee mzima toka Lubumbashi[emoji23][emoji23]
Short cut mbaya. Kama una katatizo hukajui kwenye moyo rahisi sana kuzimika. Lishe bora na vimazoezi zoezi ndiyo mpango mzima [emoji123][emoji123][emoji123]
 
Back
Top Bottom