Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bikini....Pwani....
Salama za weweKhantwe habari yako
Niaje bro?Dogo tulia. Hujui kitu....
View attachment 1190803
Siku moja tupige mafisadi mpaka yafanane hivi. Itakuwa poa sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Binti mpole anagonga Champagne somewhere? [emoji16][emoji16]
Kusema ukweli ni siku ya tatu sasa sijauona mwandiko wake, kuna mitaa fulani ya kati nayo simuoni. Hata "majirani" zake kama wawili hivi nao siwaoni ile mitaa!!Labda Binti Mpole anaumwa. Siamini kama anaweza kukata karibia wiki bila angalau kutia kaneno hapa hata kama kabanwa na majukumu namna gani. Ama hana nywila au anaumwa. Tupigeni na maombi. Just in case [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Dogo huyu kwa nyodo alikuwa hajambo. Nini kilimshinda mpaka akaamua kugeuza?
Safi sana wanastahili pongezi
Shwari Mkuu, mishe zinasemaje?
Vimbaumbau republic. Kimsambwanda kimegoma kutimbwilika [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1190799
7
Salama za wewe
Huku Amazon moto tu umepamba moto. Hata raha hakuna bro. Huko kwako vipi?Niaje bro?
Mishe zinasemaje pande hizo?
Huku Amazon moto tu umepamba moto. Hata raha hakuna bro. Huko kwako vipi?
SafiiHizi ni mila zetu wafrika, ingawa kuna ambao wanajaribu kuzikana na kupapatikia mila za kigeniView attachment 1190681