Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kesi hii hakika ilisisimua sana, hasa wanasheria wale wawili waliokua wanauliza maswali ya karaha kwa mashahidi wa utetezi, Murtaza Lakha mtoto wa mtaa Livingston Katialoo na mwenzake Hussein Muccadam naye chotara wa mtaa wa Mahiwa na Livingston Kariakoo.
Hawa walifanya kesi ile kupata wafuatiliaji wengi sana wakati huo kutokana maswali yao kwa mashahidi wa utetezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…