The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Asante TH. Wanafunzi wangu wote huwa wanafaulu na hata majibu ya kisela kama yanaleta mantiki mi nayakubaligi tu...Hata angeandika Aseno, Man U na Simba bado angepata perfect score....Mwl. SYB huyu[emoji38][emoji38]View attachment 1191089
Poti aje achukue notisi...[emoji39][emoji7][emoji3448][emoji3448]View attachment 1191082
Kweli eenh, walimu wachache wangekuwa kama wewe mie ningekuwa naendesha ndege sahizi[emoji41]Asante TH. Wanafunzi wangu wote huwa wanafaulu na hata majibu ya kisela kama yanaleta mantiki mi nayakubaligi tu...Hata angeandika Aseno, Man U na Simba bado angepata perfect score....
....na mwandiko safi [emoji818][emoji818][emoji818]
Kagombee tu kama unataka. Tatizo liko wapi?
Pumu kwa wingi...Wanasayansi wanasema 20% ya hewa safi duniani inatoka kwenye misitu ya amozon sasa itakuwaje kwenye hili
#Trenitayari[emoji16][emoji16]Poti aje achukue notisi...
Gemu lishabadilika. Siyo vya mchuchumio tena...Hata aina ya maua na rangi ya magauni ulizia. Hata mvinyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nshadandia....Yaani...#Trenitayari[emoji16][emoji16]
Mwenyekiyi njoo chukua sumary bhana, mchuhumio sio priority tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli TH. Unataka uje uchukue mojawapo ya madarasa yangu utesti zali? Kwa hakika ndege utaendesha...ai promisi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kweli eenh, walimu wachache wangekuwa kama wewe mie ningekuwa naendesha ndege sahizi[emoji41]
Za mchana huu?
Jizazi. Umeiona hii comment?Aiseee
Utafanya nisitolewe iginoa listi foreva. Kausha kamanda. Tunajifurahisha tu [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha nawaona na SYB mnamsema malkia wangu namtupia screenshot PM
Remi hakustahili kushinda haya mashindano. Masoud alidhulumiwa [emoji16][emoji16][emoji16]Mashindano ya sura mbayaView attachment 1190877
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sikuwekii ng'oooNshadandia....Yaani...
Ila kwako sina wasiwasi. Ukinisukumia iginoa listi nagoma kula fo teni deizi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] darasa gani hilo? [emoji2210]Ni kweli TH. Unataka uje uchukue mojawapo ya madarasa yangu utesti zali? Kwa hakika ndege utaendesha...ai promisi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]