Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwl. SYB huyu[emoji38][emoji38]View attachment 1191089
Asante TH. Wanafunzi wangu wote huwa wanafaulu na hata majibu ya kisela kama yanaleta mantiki mi nayakubaligi tu...Hata angeandika Aseno, Man U na Simba bado angepata perfect score....

....na mwandiko safi [emoji818][emoji818][emoji818]
 
Kweli eenh, walimu wachache wangekuwa kama wewe mie ningekuwa naendesha ndege sahizi[emoji41]

Za mchana huu?
 
Poti aje achukue notisi...

Gemu lishabadilika. Siyo vya mchuchumio tena...Hata aina ya maua na rangi ya magauni ulizia. Hata mvinyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
#Trenitayari[emoji16][emoji16]

Mwenyekiyi njoo chukua sumary bhana, mchuhumio sio priority tena[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…