Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Mmmh siamini kama ni kweli
Kwa hali ya sasa sishangai. Watu wanatelekeza watoto wachanga wanakufa kisa wazazi wapo wanacheza video games sembuse hii?Mmmh siamini kama ni kweli
Aisee nimeiangalia ile picha kwa mara nyingine aisee kuna viumbe wana roho mbaya.Kwa hali ya sasa sishangai. Watu wanatelekeza watoto wachanga wanakufa kisa wazazi wapo wanacheza video games sembuse hii?