capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Muulize kk[emoji23][emoji23] duu, mlonge ndiyo kwanza nasikia.
Sawa sawa
Nafasi ya Hussein mwinyi hiyo
Pesa nyingi sana wakati huuAseee, hiyo ni bill ya mwaka 1982.
KaaziView attachment 1191000
Kamwene
Hahahaha dahMwl. SYB huyu[emoji38][emoji38]View attachment 1191089
HahahahaAsante TH. Wanafunzi wangu wote huwa wanafaulu na hata majibu ya kisela kama yanaleta mantiki mi nayakubaligi tu...Hata angeandika Aseno, Man U na Simba bado angepata perfect score....
....na mwandiko safi [emoji818][emoji818][emoji818]
DuKweli eenh, walimu wachache wangekuwa kama wewe mie ningekuwa naendesha ndege sahizi[emoji41]
Za mchana huu?
Hatari sanaPumu kwa wingi...
Joto kwa wingi (Co2 kibao)
Waathirika wakuu ni nchi masikini....
Nimeona mkuuJizazi. Umeiona hii comment?
Atakuja malkia wangu hakika likes mil kwake ni sekunde tu she is goddessUtafanya nisitolewe iginoa listi foreva. Kausha kamanda. Tunajifurahisha tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Angekuwepo angekuwa keshafikisha likes milioni+. Na Mzee Rutta....
Hahahaha unakumbuka mkuuRemi hakustahili kushinda haya mashindano. Masoud alidhulumiwa [emoji16][emoji16][emoji16]