Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Nishapata walimu wawili mpaka sasa....nani atakuwa mwalimu wangu twisheni ?[emoji38][emoji38][emoji38]
Kenti bilivu this...

Unapata wapi hata muda wa kujiuliza swali kama hili wakati qualifications zangu na weledi wangu kuhusu mada hii unaujua? Mpaka na course uzipendazo za Aviation na Economics nimeziongeza bure? Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
68760486_150310722726877_2040335681502110523_n.jpg
 
Jf ina mambo sana.!
Kuweni waangalifu sana hasa kwenu mabinti tuliowazoea humu. Mshakuwa kama ndugu na binafsi nitaumia sana siku nikiona mmoja wenu kadhalilishwa. Najua mngali bado maandaeitini na mahomoni yakianza kuwakukuruka mishipani humo mnapoteza fokasi. Please be careful. Siyo hapa tu bali hata huko FB, IG, Twitter na kwingineko. Ni hatari...
 
Back
Top Bottom