Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuweni waangalifu sana hasa kwenu mabinti tuliowazoea humu. Mshakuwa kama ndugu na binafsi nitaumia sana siku nikiona mmoja wenu kadhalilishwa. Najua mngali bado maandaeitini na mahomoni yakianza kuwakukuruka mishipani humo mnapoteza fokasi. Please be careful. Siyo hapa tu bali hata huko FB, IG, Twitter na kwingineko. Ni hatari...
Indeed walahi
 
Umeongea kwa hisia sana Shimba, Tunajitahidi sana kuwa waangalifu juu ya hili jambo.! Ni aibu kwakweli yakikukuta


Asante kwa hekima na busara zako The don be blessed always[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Yu a re gudi styudenti...

We start tomorrow with a brief intro titled:

Twins: Biological Perspectives and Possibilities.

Jiandae [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870]
[emoji1818][emoji1818][emoji1818][emoji1818][emoji1818][emoji1818][emoji1818]


Huishi vituko hadi raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
IMG-20190827-WA0014.jpeg
 
Back
Top Bottom