Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Woiii💃Goodnight Fam[emoji3448][emoji3]View attachment 1191588
Woiii💃Goodnight Fam[emoji3448][emoji3]View attachment 1191588
😍😍😍Bora umekuja huku kupumzisha akili mrembo.
Hahah kwann TH??...hawa bwana wanatoa episode moja kwa kila wiki...ndio episode moja tayaliMmh utanisema bhanaa....vipi imetoka mpaka episode ngap?
Kimoja moja hainogi. Let me wait 😀Aisee,hii mimi ntaenda nayo hivi hivi kwa episode moja moja...naona hadi iishe yote ni mbali sana
Mfano jana nimeangalia hicho kipande kimoja dah...nmekiona kama kimekuwa kifupi sana
Asalam alaykum mpendwa.Hahah kwann TH??...hawa bwana wanatoa episode moja kwa kila wiki...ndio episode moja tayali
Mambo yetu yalee(namaanisha american inglish yao naipenda sana)[emoji23][emoji23][emoji23].....nasubiri zitimie na mimi ndo nifaidi,Hahah kwann TH??...hawa bwana wanatoa episode moja kwa kila wiki...ndio episode moja tayali
[emoji847][emoji847]Woiii[emoji126]
Na kwako pia mamiloo11:00
Muwe na usiku mwema
Kule MM bado kunawaka moto...
![]()
Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili
Kuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari. WADAU. Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka...www.jamiiforums.com
Hahah sijamuonapo bwana
Hahah haya sawaKimoja moja hainogi. Let me wait [emoji3]
Wa'alyekum salam mpendwa...u mzima ww?Asalam alaykum mpendwa.
Itikio la kawaida hilo kwa kila binti anayejiheshimu. Ushahidi huu hausadifu !!!
Haha hiyo american inglish iko vizuri sana...mimi naenda nayo hivi hivi hadi iisheMambo yetu yalee(namaanisha american inglish yao naipenda sana)[emoji23][emoji23][emoji23].....nasubiri zitimie na mimi ndo nifaidi,