The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Haaha, Yego nani uyo ninae familiana nae? 🤓Huyu The Happiness bana, she sound soooo familiar! Unajua ukiwa huna kitu wewe jifanye MGUMU. Maisha yanakuwa rahisi sana. [emoji16][emoji16]
Haaha, Yego nani uyo ninae familiana nae? 🤓Huyu The Happiness bana, she sound soooo familiar! Unajua ukiwa huna kitu wewe jifanye MGUMU. Maisha yanakuwa rahisi sana. [emoji16][emoji16]
Zis is so Waaooh, maua mazuuri, Nimeyapenda🤗🤗View attachment 1191417
This for ya! [emoji16][emoji16][emoji1493]♂[emoji1493]♂[emoji1493]♂
Hia wi goooooooooo !!!View attachment 1191417
This for ya! [emoji16][emoji16][emoji1493]♂[emoji1493]♂[emoji1493]♂
Haaha, Yego nani uyo ninae familiana nae? [emoji851]
Brazil nao wamepata rais wa ajabu kama Trump tu. Ameruhusu makampuni mengi ya uvunaji magogo na uchimbaji wa madini na amefuta baadhi ya maeneo ya Amazon yaliyokuwa hifadhi za makabila ya asili. Matokeo yake msitu umepigwa moto na wengine wanadhani pengine ni njama za makusudi ili kuwafukuza wenyeji katika maeneo yao. Hovyo tu viongozi hawa wasio na maono !!!No trees No life
This is a world crime.
Earth it's our only home.
Unafikiri TH ndo Kakivuruge kamekuja kiaina ama?
Unaijua bei ya lori zima la Roses?
Unajua pea moja ya kiatu kikali cha mchuchumio inauzwaje?
Unajua chupa moja ya mvinyo mwekundu inauzwaje?
Na gauni kali la bluu je?
Halafu eti unadai huna kitu. Usimkufuru Mungu....
Itikio la kawaida hilo kwa kila binti anayejiheshimu. Ushahidi huu hausadifu !!![emoji16][emoji16][emoji16]... ni kakivuruge hako aisee! Kameitwa kakaitikia ile, Abeee! [emoji16][emoji16]
[emoji818][emoji818]