Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20190825_170317.jpeg
 
Bongo hii watu kufuatilia maisha ya wengine dah! Nawapenda sana wazungu kwa hili. Ishi unavyotaka ali mradi huvunji sheria nobade keazi. Sasa haya ya kwetu haya ukila mchicha siku tatu mfululizo tayari maneno eti mchicha utakuua. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]

Poti wewe jifanye Vegetarian watakutangaza Mbagala nzima. Yule Baba ana hela lakini kila siku anakula mchicha! [emoji16][emoji16]
 
Poti wewe jifanye Vegetarian watakutangaza Mbagala nzima. Yule Baba ana hela lakini kila siku anakula mchicha! [emoji16][emoji16]
Acha watu waigize maisha tu kwa sababu hakuna namna. Nani anapenda kuchekwa?

Halafu mleta mada kabisa kafunga safari kwenda kuchunguza jamaa kama ni kweli anaishi pale [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sis umeanza. Nondo zako....

Procrastination na perfection ni maadui zangu wakubwa. Yaani mchongo wa hela ndefu waweza kunipita hivi hivi kisa eti proposal haijakamilika ninavyotaka. Tabia ya hovyo kabisa !!!
[emoji3][emoji3] mimi mwenyewe hako kaugonjwa ka procrastination nilikuwaga nacho sasa hivi nimepunguza. Kuna boss wangu huyo alikuwaga perfectionist basi ilikuwa tabu sana, yaani anakupa maelekezo unafanya anavyotaka ukimrudishia anaona haifai unarudia tena
 
Back
Top Bottom