Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

67655991_152911819233724_6646958504241739650_n.jpg
 
Huyu The Happiness bana, she sound soooo familiar! Unajua ukiwa huna kitu wewe jifanye MGUMU. Maisha yanakuwa rahisi sana. [emoji16][emoji16]
Unafikiri TH ndo Kakivuruge kamekuja kiaina ama?
Unaijua bei ya lori zima la Roses?
Unajua pea moja ya kiatu kikali cha mchuchumio inauzwaje?
Unajua chupa moja ya mvinyo mwekundu inauzwaje?
Na gauni kali la bluu je?

Halafu eti unadai huna kitu. Usimkufuru Mungu....
 
Back
Top Bottom