Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

70071f82bafcc914524f756844129bb5.jpg
 
Acha,umewahi simama traffic light taa ya kijani inawaka ila hauigundui rangi? Unapigiwa honi na walio nyuma yako hauzisikii? Hadi anakufuata askari ajue tatizo lako,unamjibu sina tatizo nasubiria taa ya kuniruhusu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anakuuliza wewe ni kipofu? Una mjibu "ndio afande"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Wewe unakwazika na mwandiko?? Nichane sasa[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kuchanwa eeh??muite nsamaka aje
 
Back
Top Bottom