Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Chombo cha kuzama hakina usukani.
Ook..ukitaka kusema kwa kizigua maneno haya unasemaje "asante" na "karbu"Kizigua
Mpendwa Unanipa mtihani lugha hii sijui vizuri nabahatisha nahisi maneno hayabadiliki baadae nitamuuliza bi mkubwa 😃😃😃😃😃.Ook..ukitaka kusema kwa kizigua maneno haya unasemaje "asante" na "karbu"
Hahah hujakulia Tanga kumbe...bhasi nilijua unaifahamu vyema...nimekupa homework sasa[emoji16][emoji16] baadae utanipa majibuMpendwa Unanipa mtihani lugha hii sijui vizuri nabahatisha nahisi maneno hayabadiliki baadae nitamuuliza bi mkubwa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].