Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Nina wasiwasi na binti mpole. Si ajabu anaumwa huyu. Tupigeni maombi mpaka itakapothibitishwa vinginevyo...Hajawahi kupotea hivi hata siku moja...Na siamini eti kanyang'anywa nywila. Ngangari yule dadeki kumnyang'anya nywila haiwezekani [emoji16][emoji16][emoji16]Popote ulipo binti mpole Ankoo wangu wa faraja... hawa yuu [emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1192038
NIIFUTE?We Kamwene hufai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ndo video gani hii sasa?
Natania bana...[emoji16][emoji16][emoji16]NIIFUTE?
I know broNatania bana...[emoji16][emoji16][emoji16]
katika fasihiNi mjukuu wa Shaaban Robert kweli? Nilikuwa silijui hili. Anajitahidi sana !
Halafu kweli weye huwa unagongaga likes humu au ni miye tu ndo sizioni? Gonga likes pia ili tunogeshe uzi bana...and keep those proverbs coming [emoji2221][emoji2221][emoji2221]I know bro
Inatuhusu sana wanaume hii. Tukiona demu mpya tunapaniki....Kipya kinyemi ingawa kidonda.
Vaa miwani naona uzee unakujia kwa speed sasa 😁Halafu kweli weye huwa unagongaga likes humu au ni miye tu ndo sizioni? Gonga likes pia ili tunogeshe uzi bana...and keep those proverbs coming [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mlegezo matata sana !!!
Wasukuma bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
kabisa unaambiwaMlegezo matata sana !!!
unajitania?Wasukuma bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]