Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464130353_82262.jpeg
 
Nina wasiwasi na binti mpole. Si ajabu anaumwa huyu. Tupigeni maombi mpaka itakapothibitishwa vinginevyo...Hajawahi kupotea hivi hata siku moja...Na siamini eti kanyang'anywa nywila. Ngangari yule dadeki kumnyang'anya nywila haiwezekani [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Nadhani ni mara moja tu aliwahi kupitia kipindi kigumu sana(nadhani yalitukuta wengi humu) kiasi kwamba akapotea hewani karibu kwa wiki mbili, na huo ndio ukawa mwanzo wa upole wake.
Naamini atakuwa amejipumzisha baada ya kupata kitu/jambo jipya la heri....
 
Back
Top Bottom