Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mujibu wa takwimu kutoka katika Mtandao wa Transfermarkt, City imenunua wachezaji 278 tangu mwanzo wa msimu wa 2009/10 kwa ajili ya kuwasaidia kuwa moja kati ya timu tishio barani Ulaya ikiwa ni kitendo tofauti na kauli ya kocha wake wa sasa, Pep Guardiola anayedai hawana utajiri wa kijinga.
 
Dau kubwa zaidi kwa City limetoka katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita ambapo mastaa Kevin de Bruyne, Rodri, Riyad Mahrez, Joao Cancelo, Aymeric Laporte, Raheem Sterling, Benjamin Mendy, John Stones na Kyle Walker wote kila mmoja amenunuliwa kwa zaidi ya Pauni 50 milioni.
 
Za kupotea Binti Mpole. Karibu tena.
 
Dau kubwa zaidi kwa City limetoka katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita ambapo mastaa Kevin de Bruyne, Rodri, Riyad Mahrez, Joao Cancelo, Aymeric Laporte, Raheem Sterling, Benjamin Mendy, John Stones na Kyle Walker wote kila mmoja amenunuliwa kwa zaidi ya Pauni 50 milioni.
 
Hii inaonyesha wababe hawa wa El Clasico wamekuwa wakijali zaidi ubora kuliko uwingi ambapo katika kipindi cha miaka 10 iliyopita pale Hispania ni mara moja tu ubingwa wa La Liga uliponyoka katika mikono yao ukaenda kwa Atletico Madrid. Katika kipindi hicho wababe hao wametengeneza kiasi cha Pauni 730 milioni za mauzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…