Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ukitazama leo utayaona magumu.
Yatazame matokeo ya nguvu nyingi unazotumia leo.
Hapo ndipo utakapo jua Shetani ni fala tu kama mafala wengine wa kitaa...
JF upo uwezekano wa kufuta account unayoimiliki?