Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
si nilisikia jamaa alikuwa hana nguvu za kiume?
Muwe na usiku mwema
Hata mimi sijaliona jina la capitalpool hapo...
mkuu nimekusudia maarifa makubwa na si nguvu zileeeeeeeeeeAah wapi, hizo ulizosikia ilikua ni moja kati ya silaha walizotumia wapinzani wake kumpiga vita.
Mkuu kuna vijana wawili nimewachakata humo, maisha yao yanaumiza sana, nimewaomba kuongea nao, wakikubali nitafarijika.Kuna nyuzi za utata[emoji23][emoji23]
dah! hata kwa PM haiwezekani.
hili fyekero langu limeshanichosha
πππ
mafyekero kumbe yana mzigo mzito kwa wale wasiozoea kuyatumia mara kwa mara kuliko nywele bandia za wasichana