Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Everton vs Liverpool – mechi 54, kadi 233

Merseyside derby, hii ndio mechi ya kibabe hasa kwenye Ligi Kuu England. Licha ya kwamba Liverpool imekuwa ikipata matokeo mazuri dhidi ya Everton kwa miaka ya karibuni, lakini timu hizo zinapokutana, basi chochote kinaweza kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…