Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hata mimi nimeshangaa kidogo. Binafsi nakuogopa mpaka nikitaka kuweka misambwanda yangu naangalia kwanza kama haupo halafu leo vu bin vu eti nguvu ya K-Vant. Mpendwa; umenishangaza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Kwa nini umeniuliza hivyo mpendwa.
Utamu unakuzidiana nahisi kwenu zaidi. Asione Bradha hii comment πππNa mnaijua kuitumia mpaka basi....
Utafikiri nyinyi utamu hampati...
Shwaini zenu aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Umejuaje kuwa ina nguvu? π π πππππππKwa nini umeniuliza hivyo mpendwa.
Umeona eeeh!?Mpendwa umeanza lini kunywa K vant?
hiiiiiiiiiUtamu unakuzidiana nahisi kwenu zaidi. Asione Bradha hii comment πππ
Namngojea hapa Bradha anipe jawabu la swali. Huu uzi umenibdilisha tabia ππππHata mimi nimeshangaa kidogo. Binafsi nakuogopa mpaka nikitaka kuweka misambwanda yangu naangalia kwanza kama haupo halafu leo vu bin vu eti nguvu ya K-Vant. Mpendwa; umenishangaza [emoji16][emoji16][emoji16]
Aaaa wapi. Mi nadhanigi nyie ndiyo huwa mnafaudu zaidi. Ila sasa mnavyoringa na kujishaua dah! You run the world sema tu hamna umoja. Mngeweza kuunganisha nguvu hizo aisee hata serikali zenye nguvu mngeweza kuziangusha tu anytime mkitaka...Utamu unakuzidiana nahisi kwenu zaidi. Asione Bradha hii comment [emoji2][emoji2][emoji2]
Uzi huu una laana mpendwa....[emoji16][emoji16]Namngojea hapa Bradha anipe jawabu la swali. Huu uzi umenibdilisha tabia [emoji2][emoji2][emoji2][emoji85]
Wakuu kesho mzifute hizi comments kweli leo sijielewi πππUmeona eeeh!?
Naona mpendwa leo "kaonja" kidogo japo najua hanywi [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe hujui tuu bro.Umeona eeeh!?
Naona mpendwa leo "kaonja" kidogo japo najua hanywi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi k vant ni konyagi kwa msamiati mwingineUzi huu una laana....[emoji16][emoji16]
Watakuja watu hapa watasema huyu ndio wewe sasa.Yule mpendwa tuliyemzoea ni feki πππ.Wakuu kesho mzifute hizi comments kweli leo sijielewi πππ
Wapi huko? Hebu nielekeze na miye. Yaani mimi nakaa namwogopa hapa kuweka madude yangu kumbe akiwa mitaani huko anajiachia tu? Siyo fea kabisa !!!Wewe hujui tuu bro.
Mpendwa huwa nakutana naye mitaa.
Taratibu Mpendwa mume anapitia comments nisije pewa talaka usiku huuπππWewe hujui tuu bro.
Mpendwa huwa nakutana naye mitaa.
Hahahaha sio kweliWapi huko? Hebu nielekeze na miye. Yaani mimi nakaa namwogopa hapa kuweka madude yangu kumbe akiwa mitaani huko anajiachia tu? Siyo fea kabisa !!!
Najisikia furaha sana kwa mpendwa huyu kufunguka. Kuna kipindi nilitaka kwenda kumsalimia PM lakini nilipokumbuka tu misimamo yake hapa na heshima yangu mbovu ya misambwanda nikaufyata kwa sababu nliiogopa pengine nitaishia kuyakoga matusi huko....Watakuja watu hapa watasema huyu ndio wewe sasa.Yule mpendwa tuliyemzoea ni feki [emoji2][emoji2][emoji2].
Poa, mambo ya kule tuyaachie kulekule.Nitakua napita kule mida ileile πππTaratibu Mpendwa mume anapitia comments nisije pewa taraka usiku huuπππ
Ukipewa talaka tunakudabua ohooo [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Taratibu Mpendwa mume anapitia comments nisije pewa taraka usiku huu[emoji2][emoji2][emoji2]
Mnaficha eeh!?Poa, mambo ya kule tuyaachie kulekule.Nitakua napita kule mida ileile [emoji2][emoji2][emoji2]